Home » Chozi La Heri Mwongozo – Summary Download Pdf

Chozi La Heri Mwongozo – Summary Download Pdf

by Infolinks Team
35753 views

Mwongozo wa Chozi La Heri

  • Chozi La Heri Summary
  • Chozi La Heri Uchambuzi
  • Chozi La Heri Mwongozo
  • Chozi La Heri Mwongozo Pdf
  • Uchambuzi Wa Chozi La Heri
  • Wahusika Katika Chozi La Heri
  • Download Chozi La Heri
  • Assumpta Matei

Chozi la Heri na Assumpta K.Matei

Mungu wangu! Huyu si ndugu yangu Mwaliko?” alisema Umu kimyakimya. Dick naye alikuwa kaghumiwa, hajui ia kusema. Anamtazama mnuna wake kana kwamba ni Mr Super Man katika sinema za kijasiri. Wote wawili walitazamana, kila mmoja akiapa moyoni kuwa amewahi kumwona kiumbe huyu mahali, lakini hakuna aliyethubutu kunena.

Tamaa ya kumiliki nyenzo za kujiinua kiuchumi na kisiasa, kama inavyodhihirika katika riwaya hii, inasambaratisha asasi za kijamii, pamoja na miundomsingi ya mshikamano wa kijamii. Maazimio yasiyofikiwa yanazua hali ya kuvunjikiwa—kihoro hasa. Lakini baada ya kiza kizito huja mawio ya uzawa wa jamii mpya yenye matumaini.

 Ad  Apply for Latest Jobs in Kenya Today »

 

You may also like

13 comments

kem allen November 26, 2018 7:16 pm - November 26, 2018 7:16 pm

ni maudhui yapi hupatikana katika riwaya ya chozi la heri

Reply
Esther December 3, 2018 8:10 pm - December 3, 2018 8:10 pm

Maudhui ya malezi

Reply
Esther April 21, 2019 12:54 pm - April 21, 2019 12:54 pm

Jadili jinsi maudhui ya kifo yamejitokeza katika riwaya ya chozi la hero

Reply
Deborah December 9, 2018 4:28 pm - December 9, 2018 4:28 pm

Please put up maudhui ya nafasi ya mwanamke,ujenzi wa jamii and ukimbizi for chozi la heri

Reply
Lydia Nyambura December 10, 2018 11:16 am - December 10, 2018 11:16 am

it is nice

Reply
fredrick muriuki January 21, 2019 2:32 am - January 21, 2019 2:32 am

maudhui katika chozi la heri ni mengi

Reply
P. K. Mwaura January 22, 2019 12:59 pm - January 22, 2019 12:59 pm

Good work

Reply
MWALIMU PETER February 22, 2019 8:40 pm - February 22, 2019 8:40 pm

hakikisha umeyaongezea maudhui yale ambayo hayapo hapa,ili kuwafaidi wengine

Reply
Martha April 24, 2019 5:36 am - April 24, 2019 5:36 am

Good

Reply
Martha April 24, 2019 5:36 am - April 24, 2019 5:36 am

Wow

Reply
Felix April 30, 2019 10:34 pm - April 30, 2019 10:34 pm

good work but ningependelea kupata ufaafu wa anwani chozi la heri

Reply
peter mumgai June 18, 2019 10:34 pm - June 18, 2019 10:34 pm

for revisions

Reply
peter mungai June 18, 2019 10:36 pm - June 18, 2019 10:36 pm

for revisions

Reply

Leave a Comment

* By using this form you agree with the storage and handling of your data by this website.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

You're currently offline